• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NAEB sambaza Serikali  Uganda, imeidhinisha wazalishaji 15 wa mbegu za kahawa kupiga jeki mapato yake

    (GMT+08:00) 2017-10-23 19:40:44
    Bodi ya Taifa ya Mauzo ya Kilimo (NAEB) na wadau wameanza kampeni nchini kote kusambaza Serikali Uganda, imeidhinisha wazalishaji 15 wa mbegu za kahawa kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa kahawa na mauzo ya nje.

    Pie Ntwari, mkuu wa mawasiliano katika Bodi hiyo amesema, wanashiriki na vituo vya kuosha kahawa na wadau wengine ili kuhakikisha kwamba wakulima wote wanapata mbolea.

    Shirika la nje la kilimo linaendelea kushirikiana na Chama cha Wafanyabiashara wa Kahawa na Chama cha Wasindikaji cha Rwanda (CEPAR) ili kuhakikisha kwamba wakulima wote wanafaidika na mradi huo.

    Meneja anaye simamia usambazaji wa mbolea amesema, itatumika kwa zaidi ya miti milioni 82 za kahawa nchini kote wakti wa zoezi hilo.

    Rwanda ilipata milioni dola 58.5 kutoka kwa mauzo ya nje ya kahawa mwaka wa fedha uliopita .

    Zao la kahawa linasaidia maisha ya wakulima zaidi ya 400,000 nchini kote na, Zaidi ya asilimia 72 ya Wanyarwanda wameajiriwa katika sekta ya kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako