• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bandari Dar kinara makusanyo ya ndani

    (GMT+08:00) 2017-10-23 19:41:02
    NUSU ya makusanyo ya ndani ya zaidi ya trilioni 1.2 yanayokusanywa kila mwezi na Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania (TRA) yanatoka katika bandari zote zilizopo nchini humu, Bandari ya Dar es Salaam ikichangia asilimia 90.

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Deusderius Kakoko alibainisha hayo wakati alipokuwa akikabidhi msaada katika Kituo cha Afya cha Nkomolo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako