• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya ndondi mkondo wa 4 Kenya: Majeshi waibuka kidedea

    (GMT+08:00) 2017-10-24 08:58:37

    Klabu ya ndondi ya majeshi (DEFABA) imeibuka mshindi katika mapigano ya mkondo wa 4 wa ligi kuu ya ndondi nchini Kenya kwenye ukumbi wa Madison Qsuare Garden mjini Nakuru.

    Majeshi imemaliza kwa alama 25 huku ikiipiga kikumbo klabu ya polisi ambayo ilimaliza nafasi ya pili kwa alama 19 na klabu ya magereza ikishika nafasi ya 3 kwa alama 5. Mashindano ya mkondo wa 5 yanatarajiwa kuanza mwezi ujao mjini Mombasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako