• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania yatwaa taji la CANA kanda ya tatu kwa mara ya pili mfululizo

    (GMT+08:00) 2017-10-24 08:59:21

    Tanzania imefanikiwa kutetea ubingwa wa CANA kanda ya tatu Afrika baada ya kuibuka katika nafasi ya kwanza upande wa wanawake na wanaume.

    Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa, Timu ya Tanzania ilipata jumla ya pointi 1,394, timu ya Zambia imeshika nafasi ya pili kwa kupata ponti 968 huku Kenya ikikamata nafasi ya tatu kwa kupata pointi 957 huku Uganda ikishika nafasi ya nne kwa kupata pointi759 na kufuatiwa na Afrika Kusini iliyopata pointi 469 huku Sudan ikikamata mkia kwa kupata pointi 459.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako