• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia la FIFA U17: Mali yaichapa Ghana na kutinga nusu fainali.

    (GMT+08:00) 2017-10-24 09:00:34

    Timu ya Eaglets chini ya miaka 17 ya Mali, imekuwa timu ya kwanza kufuzu nusu fainali ya michaano ya kuwania kombe la dunia la FIFA kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 baada ya kuifunga Black Starlets ya Ghana 2-1, michuano inayofanyika nchini India.

    Bao la ushindi la Mali lilipatikana kutokana na uzembe wa mlinda mlango wa Ghana Danlad Ibrahim baada ya Djemoussa Traore wa Mali kuachia kombora ambalo mlinda mlango huyo kuutema kabla ya mshambuliaji wa Mali kkuwahi na kuukwamiza kimiani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako