• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Klabu 12 zaanza kumuwania Bolt ikiwemo Borussia Dortmund

    (GMT+08:00) 2017-10-24 09:02:42

    Gwiji wa mbio fupi aliyetangaza kustaafu riadha Ursain Bolt, anapanga kuanza kucheza soka ya kulipwa mwaka 2018. Bolt amehojiwa na vyombo vya habari vya Uingereza akisema kuwa, klabu 12 zimejitokeza kumuwania mwanariadha huyo ikiwemo Borussia Dortmund na Burton Albion fc.

    Bolt ambaye aliumia mguu akishiriki riadha za dunia jijini London Uingereza mwezi Agosti bado anauguza jeraha hilo akitarajia kupona kufikia mwishoni mwa mwaka huu na kuanza kutandaza kabumbu mwaka 2018.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako