• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Everton yamtimua kocha wake baada ya kichapo na Arsenal

    (GMT+08:00) 2017-10-24 09:03:39

    Kocha Ronald Koeman amefukuzwa na klabu ya Everton baada ya miezi 16 kazini kufuatia matokeo mabaya mwanzoni mwa msimu ambayo yameifanya timu hiyo ishike nafasi ya 3 kutoka mwisho mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza (EPL).

    Kocha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 23 David Unworth, atafundisha timu hiyo kwa sasa kuelekea mchezo wa kesho wa kombe la Carabao dhidi ya Chelsea na mchezo wa ligi kuu Jumapili dhidi ya Leicester City.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako