• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa misaada ya elimu kwa wakimbizi 86,000 wa Syria nchini Lebanon

    (GMT+08:00) 2017-10-24 09:18:28

    Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa mataifa UNICEF limesema misaada ya elimu iliyotolewa na China imefikishwa kwa wanafunzi wakimbizi elfu 86 wa Syria walioko nchini Lebanon. Misaada hiyo ilitolewa kupitia kampeni ya Lebanon ya kuwapatia elimu watoto wote, ikiwa ni juhudi za ushirikiano unaoendelea kati ya wizara ya elimu ya Lebanon na Umoja wa mataifa. Waziri wa elimu wa Lebanon Bw Marwan Hamadeh ameishukuru China kwa misaada yake kwa Lebanon katika maeneo mbalimbali tangu msukosuko wa wakimbizi uibuke.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako