• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baadhi ya vyuo vikuu vya Kenya vyafungwa kabla ya uchaguzi

    (GMT+08:00) 2017-10-24 09:34:07

    Baadhi ya vyuo vikuu nchini Kenya vimefungwa kabla ya uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika alhamisi hii, kutokana na kupamba moto kwa mvutano wa kisiasa nchini humo.

    Baadhi ya vyuo vikuu vinafungwa kutokana na hofu ya usalama kwa wanafunzi kabla ya uchaguzi, na vingine vinasema vinafungwa ili kutoa nafasi kwa wanafunzi kwenda kupiga kura.

    Vyuo vikuu vilivyofungwa ni pamoja na chuo kikuu cha Nairobi, chuo kikuu cha Moi, chuo kikuu cha Maseno na chuo kikuu cha Mount Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako