• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la serikali la Syria lasonga mbele kuelekea ngome ya mwisho ya Kundi la IS

    (GMT+08:00) 2017-10-24 09:47:07

    Jeshi la serikali ya Syria limeendelea na juhudi za kuukomboa mji wa Abu Kamal, kusini mashariki mwa mkoa wa Deir ez-Zor, mashariki mwa Syria, ambao ni ngome kuu ya mwisho ya Kundi la IS nchini humo.

    Shirika la habari la Syria SANA limeripoti kwamba jeshi la serikali ya Syria linapambana na Kundi la IS, na kulishambulia vikali kundi hilo chini ya msaada wa mashambulizi ya anga.

    Wakati huo huo, vikosi vya Syrian Democratic Forces SDF vinavyoongozwa na kundi la wakurd vimeendelea na opresheni za kijeshi mkoani Deir ez-Zor, kutoka upande wa kaskazini hadi kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako