• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Florens Luoga kuwa gavana wa benki kuu Tanzania 

    (GMT+08:00) 2017-10-24 19:53:37
    Rais wa Tanzania John Magufuli amemteua profesa wa sheria ya ushuru Florens Luoga kuwa gavana wa benki kuu.

    Magufuli alisema Luoga ataanza kazi mwezi desemba ama Januari baada ya kukamilika kwa muda wa kuhudumu wa gavana wa sasa Benno Ndulu.

    Luoga kwa sasa anahudumu kama naibu chanzela wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

    Mwezi Juali Luoga pia aliteuliwa na rais Magufuli kuwa mwenyekiti wa hamlamshauri ya wakurungezi wa mamlaka ya ushuru nchini humo TRA.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako