• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wafanyabiashara vijana 40 wa Rwanda kushiriki mafunzo yanayotolewa na shirika la TNHF

    (GMT+08:00) 2017-10-24 19:55:01
    Wafanyabiashara vijana wapatao 40 nchini Rwanda wamechaguliwa kushiriki kwenye mafunzo ya miezi 8 ya kibiashara yanayotolewa na shirika moja la Marekani la These Numbers Have Faces (TNHF).

    Vijana hao walichaguliwa kutoka kundi la wafanyabiashara 150 waliokuwa wanashiriki kwenye mkutano wa shirika hilo.

    Mwanzilishi wa shirika hilo Justin Zoradi amesema wanatafauta vijana ambao wanaendesha biashara zinazowaletea mauzo ya dola 80.

    Mafunzo hayo yatawawezesha kupata ujuzi wa usimamizi wa kibiashara na uvumbuzi.

    Aidha wataweza kujishindia kati ya dola 1,000 na 10,000 kama mtaji wa kuwekeza kwenye biashara zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako