• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanaoishi vijijini ndio watapata utajiri kwa haraka yasem FAO

    (GMT+08:00) 2017-10-24 19:56:19

    Shirika la chakula na kilimo duniani FAO limesema kwenye ripoti yake kwamba watu wanaoishi vijijini watakuwa na maendeleo ya haraka kiuchumi kuliko wale wanaoishi mijini.

    Ripoti hiyo ya FAO kwa jina "State of Food and Agriculture, mwaka 2017 inasema watu wanaohamia mijini huenda watakumbwa na umaskini katika siku za baadaye.

    Kulingana na ripoti hiyi mpya mamilioni ya vijana wengi wanaotafura ajira katika nchi zinazoendelea hawana haja ya kukimbilia mijini kutafita ajira.

    Taakwimu zinaonyesha kwamba kati ya mwaka 2015 na 2030, idafdi ya watu wenye umri wa kati ya miaka 15-24 itafifikia bilioni 1.3.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako