• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya mpira wa wavu: Malkia Strikers waanza mazoezi

    (GMT+08:00) 2017-10-25 08:41:07

    Washindi wa pili wa mashindano ya klabu bingwa Afrika, timu ya taifa ya mpira wa wavu ya wanawake ya Kenya (Malkia Strikers) imeanza mazoezi ya kujiandaa kwa mashindano ya kombe la dunia ya mpira wa wavu yatakayofanyika nchini Japan mwakani.

    Marekani ni mabingwa watetezi wa kombe la dunia la mpira wa wavu baada ya kuishinda uchina seti 3-1 kwenye mashindano ya mwisho yaliyofanyika nchini Italia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako