• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hong Kong yalenga ubingwa wa Raga Novemba

    (GMT+08:00) 2017-10-25 08:45:01

    Timu ya raga ya Hong Kong sasa inalenga kutwaa ubingwa wa raga za wachezaji 15 kila upande itakazoandaa Novemba 10-18, 2017.

    Dragons ya Hong Kong iliifunga Simbas ya Kenya 19-19 kwenye mechi ya kimataifa ya kirafiki Agosti 20 na kuipiga tena 43-34 mnamo Agosti 26 jijini Nairobi.

    Vichapo hivyo viwili vilishuhudia Kenya ikiteremka kutoka nafasi ya 25 duniani hadi 27 nayo Hong Kong ikaimarika kutoka nafasi ya 24 hadi 22 duniani.

    Katika makala ya mwaka 2017, nambari 27 Kenya italimana na nambari 28 Chile (Novemba 10), nambari 20 Urusi (Novemba 14) na kumaliza kampeni dhidi ya Hong Kong (Novemba 18).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako