• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hamilton ashinda mbio za magari Marekani (USGP)

  (GMT+08:00) 2017-10-25 08:45:34

  Mwendesha gari aina ya Mercedes Lewis Hamilton ameshinda mbio za magari za Marekani (USGP) na kujiongezea nafasi ya pinti dhidi ya mpinzani wake mkubwa Sebastian Vettel wa Ferrari kuelekea mwishoni mwa mwaka huu.

  Hamilton sasa anasubiri mashindano yajayo ya Mexico Grand Prix, endapo atashinda kwa tofauti kubwa dhidi ya Vettel basi atatwaa taji lake la nne la dunia. Ili kufufua matuamini ya ubingwa, Vettel atatakiwa kumzidi Hamilton kwa alama 17 kwenye mbio hizo za Mexico zitakazofanyika Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako