• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakali wa Tenisi kukutana Dubai Desemba mwaka huu

    (GMT+08:00) 2017-10-25 08:45:53

    Bingwa mara 12 wa tenisi ya Grand Slam, Novak Djokovic atacheza mechi yake ya kwanza msimu huu kwenye michuano ya tenisi ya dunia mwezi Desemba mwaka huu huko Abu Adhabi.

    Mchezaji huyo namba 7 kwa ubora duniani alipata majeraha ya kiwiko cha mkono mwanzoni mwa msimu huu na kushindwa kuendelea na michuano lakini sasa yupo fiti kurejea kwenye michuano ya tenisi hiyo inayoanza Desemba 28 hadi 30.

    Naye Stan Wawrinka wa Uswisi anarejea baada ya kupata majeraha ya goti. Wakali hao watachuana na wakali wengine akiwemo mchezaji namba 1 duniani Rafael Nadal.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako