• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa Umoja wa mataifa apongeza kuundwa kwa kamati ya pamoja ya Libya

    (GMT+08:00) 2017-10-25 08:52:59

    Mkuu wa tume ya kutoa misaada ya Umoja wa mataifa nchini Libya Bw. Ghassan Salame, amepongeza kuundwa kwa kamati ya pamoja inayowakilisha mabaraza mawili ya bunge la Libya kwa mujibu wa makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa miaka miwili iliyopita, na kusema ni mfano wa kuigwa kwa siku za baadaye. Bw. Salame alisema hayo mapema jana akihojiwa na wanahabari baada ya kukutana na waziri wa mambo ya nje wa Libya Bw. Mohamed Sayala mjini Tripoli.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako