• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahakama nchini Iran yatoa adhabu ya kifo kwa mwanamume aliyetuhumiwa kufanya ujasusi kwa ajili ya Israel

    (GMT+08:00) 2017-10-25 08:53:54

    Mahakama nchini Iran imetoa hukumu ya kifo kwa mwanamume anayetuhumiwa kufanya ujasusi kwa maslahi ya Israel. Mwendesha mashtaka mkuu wa Iran Bw. Abbas Jafari Dolatabadi amesema mtuhumiwa huyo amehukumiwa kifo kwa makosa ya kushirikiana na Shirika la ujasusi la Israeli Mossad, na moja ya mashtaka dhidi yake ni kutoa anuani na majina ya wataalamu 30 wa nyuklia na jeshi wa Iran kwa maofisa wa Mossad, kitendo ambacho kilisahabisha kuuawa kwa baadhi ya wataalamu hao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako