• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping asema China itapata usitawi na neema zaidi mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2017-10-25 13:26:52

    Rais Xi Jinping wa China alipozungumzia malengo mapya ya miaka mitano ijayo amesema, mwaka 2019 utakuwa ni mwaka wa 70 tangu Jamhuri ya watu wa China ianzishwe, China itatekeleza kikamilifu wazo jipya la kujiendeleza, kusukuma mbele maendeleo endelevu ya uchumi, na kuwanufaisha watu wa China na watu wa nchi mbalimbali. Amesema China pia itaendelea kutekeleza majukumu mbalimbali yaliyowekwa kwenye Mpango wa 13 wa maendeleo ya miaka mitano, kuweka mpango mpya wa maendeleo ya baadaye na kuendeleza shughuli zote kwa pande zote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako