• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio ya uhalifu mbaya nchini Afrika Kusini yaongezeka

    (GMT+08:00) 2017-10-25 18:32:20

    Mkuu wa polisi wa Afrika Kusini amesema, katika muda wa mwaka mmoja uliopita, uhalifu mbaya wa kimabavu nchini humo umeongezeka, hasa matukio ya mauaji na wizi yameongezeka kwa kiasi kikubwa.

    Mkuu huyo amesema kuongezeka kwa uhalifu mbaya kunaonesha kuwa hali ya usalama wa jamii nchini Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya. Amesisitiza kuwa serikali ya Afrika Kusini itasafisha polisi, kuzuia ufisadi kati ya polisi, kupambana na wahalifu, ili wananchi wa Afrika Kusini wawe salama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako