• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mambo ya diplomasia yenye umaalum wa China kutoa mchango mpya

    (GMT+08:00) 2017-10-25 18:36:37

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema mambo ya diplomasia yenye umaalum wa China katika zama mpya yakiongozwa na Fikra ya Xi Jinping kuhusu ujamaa wenye umaalumu wa China katika zama mpya, yataonesha sura mpya na kutoa mchango mkubwa zaidi kwa mustakabali wa binadamu.

    Msemaji huyu amesema kwenye mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China, kuwa katibu mkuu wa chama Bw. Xi Jinping ametoa mpango mkuu kuhusu mambo ya diplomasia yenye umaalum wa China, akisema mambo hayo yatasukuma mbele ujenzi wa uhusiano mpya wa kimataifa na jumuiya ya mustakabali wa pamoja wa binadamu. Maneno ya Bw. Xi yamejumuisha lengo kuu la mambo ya diplomasia ya China, na kuonesha lengo kubwa ambalo China inatarajia kutimiza kwa kushirikiana na nchi mbalimbali duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako