• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yaizidi Ujerumani kuwa soko kubwa zaidi la kahawa ya Kenya

    (GMT+08:00) 2017-10-26 08:50:22

    Marekani imejitokeza kuwa soko kubwa zaidi la kahawa ya Kenya, baada ya kuagiza tani 8,900 za kahawa mwaka jana, ikilinganishwa na tani 8,100 za mwaka 2015. Mkurugenzi wa kurugenzi ya kahawa ya Mamlaka ya kilimo na chakula ya Kenya AFA Bw Grenville Melli amesema Marekani imeizidi Ujerumani, ambayo ilinunua tani 8,400 za kahawa kutoka Kenya katika kipindi hicho. Kwa mujibu wa AFA, Kenya inatarajiwa kuzalisha tani elfu 50 za kahawa mwaka huu, ikilinganishwa na tani elfu 46 mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako