• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya jimbo la wakurdi yapendekeza kusitisha matokeo ya kura za maoni

    (GMT+08:00) 2017-10-26 08:51:03

    Serikali ya jimbo la wakurdi nchini Iraq imependekeza kusitisha utekelezaji wa matokeo ya kura za maoni, ili kutandika njia kwa ajili ya mazungumzo na serikali kuu. Taarifa iliyotolewa na serikali hiyo imesisitiza kuwa jimbo hilo halina nia ya kupambana na serikali kuu, na itasitisha mara moja operesheni zote za kijeshi katika jimbo hilo. Serikali kuu ya Iraq bado haijatoa maoni kuhusu taarifa hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako