• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wananchi wa Kenya wapewa mapumziko ili kushiriki kwenye uchaguzi mkuu

    (GMT+08:00) 2017-10-26 09:00:08

    Serikali ya Kenya imetangaza kuwa leo Alhamisi ni siku ya mapumziko ya kitaifa, ili kutoa nafasi kwa wananchi kushiriki kwenye upigaji kura wa uchaguzi wa rais wa marudio. Hata hivyo baadhi ya wananchi hawajafurahishwa na taarifa ya serikali kuhusu mapumziko, kutokana na kuwa uchaguzi bado umegubikwa na sintofahamu za kisheria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako