• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 10 wauawa katika mlipuko wa bomu la ardhini Somalia

    (GMT+08:00) 2017-10-26 09:12:00

    Watu wasiopungua 10 wameuawa na wengine zaidi ya 16 wamejeruhiwa baada ya msafara wa magari ya tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kukanyaga bomu la kutegwa ardhini jana kusini ya Mogadishu.

    Ofisa wa usalama amesema tukio hilo limetokea katika eneo kati ya Arbiska na Lafole karibu na wilaya ya Afgoye, kilomita 30 kusini ya Mogadishu.

    Msemaji wa vikosi vya AMISOM Bw Wilson Rono amethibitisha kwamba wahanga hao wameuawa katika mapambano kati ya vikosi vya Umoja wa Afrika na waasi wa Kundi la Al-Shabaab. Amesema askari mmoja wa AMISOM ameuawa na mwingine amejeruhiwa.

    Kundi la Al-Shabaab halijasema lolote kuhusu tukio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako