• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Syria lakaribia ngome ya mwisho ya kundi la IS katika eneo la al-Bukamal

    (GMT+08:00) 2017-10-26 09:31:47

    Jeshi la serikali ya Syria limesema linakaribia eneo la al-Bukamal ambalo ni ngome muhimu ya mwisho ya kundi hilo karibu na mpaka wa Iraq.

    Jeshi la Syria linapigania kudhibiti tena eneo la visima vya mafuta ili kufika al-Bukamal, siku kadhaa baada ya jeshi hilo kuukomboa mji wa al-Mayadeen, ambao ulichukuliwa kama ni mji mkuu wa IS katika jimbo la Deir al-Zour.

    Al-Bukamal ni muhimu kwa kundi la IS kutokana na ukaribu wake na maeneo yanadhibitiwa na kundi hilo katika upande wa Iraq.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako