• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bondia Francis Cheka achezea kipigo kutoka kwa Sek

    (GMT+08:00) 2017-10-26 09:52:44

    Bondia Francis Cheka amechezea kipigo cha Technical Knock Out (TKO) kutoka kwa bondia Dariusz Sek nchini poland. Cheka amepigwa raundi ya tatu ya pambano lililokuwa la raundi nane la uzani wa juu mwepesi dhidi ya Sek. Mtanzania huyo alicheza dakika nane tu kabla ya kukubali kipigo hicho kwenye ukumbi wa Kopalnia Soli huko Wieliczka.

    Katika pambano hilo Cheka alicheza hadi raundi ya tatu kabla ya refarii Robert Gortat kumtangaza Sek kuwa mshindi kwa matokeo ya TKO.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako