• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Oparesheni ya Mizani feki yaanzishwa

    (GMT+08:00) 2017-10-26 20:10:37
    Shirika la ubora wa bidhaa nchini Uganda (UNBS) limeanzisha oparesheni ya kusaka wafanyibiashara wanaotumia mizani feki kuwapuja wateja wao.

    Afisa mkuu wa shirika la bidhaa nchini humo Godwin Bonge Muhwezi ametoa onyo kali kwa wahalifu hao wanaotumia mizani hizo kutoa huduma za unyanyasaji .

    Oparesheni hiyo itafanyika kote nchini Uganda na watakaotiwa mbaroni watafunguliwa mashataka.

    Mizani hizi zinatumika pakubwa kuwaibia wateja wa nafaka,nyama na unga.

    Mizani rasi za kupima bidhaa za madukani nchini Uganda zinapaswa kuwa na nembo la shirika la ubora wa bidhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako