• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watoto barani Afrika yakadiriwa kuongezeka kwa milioni 170 ifikapo mwaka 2030

    (GMT+08:00) 2017-10-27 08:52:28

    Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa mataifa UNICEF limesema idadi ya watoto barani Afrika inakadiriwa kuongezeka kwa watoto milioni 170 ifikapo mwaka 2030, na kufanya idadi ya jumla ya vijana wenye umri chini ya miaka 18 barani humo ifikie milioni 750. Ripoti iliyotolewa na UNICEF inasema kutokana na makadirio hayo, wafanyakazi milioni 11 zaidi kwenye sekta za elimu na afya watahitajika ili kukidhi mahitaji yanayotokana na ongezeko la kasi la idadi ya watu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako