• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la jimbo la Ontario nchini Canada lapitisha muswada wa kuweka siku ya kukumbuka mauaji ya kimbari ya Nanjing

    (GMT+08:00) 2017-10-27 08:53:18

    Bunge la jimbo la Ontario nchini Canada limepitisha muswada wa kuweka siku ya kukumbuka mauaji ya kimbari yaliyofanywa na vikosi vya Japan mjini Nanjing, China katika Vita kuu ya pili ya dunia, na kusababisha vifo vya wachina laki tatu. Mbunge wa jimbo hilo Bi. Soo Wong aliyewasilisha muswada huo bungeni amesema kupitishwa kwa muswada huo inayoweka Desemba 13 kila mwaka kuwa Siku ya kukumbuka mauaji ya kimbari ya Nanjing, ni muhimu katika kuhimiza amani na mustakbali shirikishi wenye staha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako