• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Yaya Toure kutimkia klabu ya New York City FC ya Marekani

    (GMT+08:00) 2017-10-27 09:52:01

    Kiungo wa Manchester City, Yaya Toure anajiandaa kutua katika klabu ya New York City FC ya Marekani ambayo ni klabu dada ya Manchester City, wakati huu akionekana kama mbadala halisi wa kiungo mkongwe, Andrea Pirlo anayeelekea kustaafu.

    Toure hana nafasi ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha kocha, Pep Guardiola na aliongezewa mkataba wa mwaka mmoja tu mwishoni mwa msimu uliopita, lakini hatazamiwi kuongezewa mkataba mwingine mwishoni mwa msimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako