• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji 95 wameuawa kwenye operesheni mpya nchini Afghanistan

    (GMT+08:00) 2017-10-27 19:22:26

    Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa jumla ya wapiganaji 95 wameuawa kwenye operesheni mpya ya kijeshi nchini humo.

    Jeshi la Ulinzi wa Taifa na Vikosi vya Usalama ANDSF vilianzisha operesheni ya kusafisha baadhi ya maeneo yenye magaidi na maadui wanaovuruga amani na utulivu wa nchi hiyo kwa saa 24. Na matokeo yake, magaidi 95 waliuawa, wanane kujeruhiwa na 11 walikamatwa na vikosi vya usalama. Vikosi hivyo pia vimekamata silaha na risasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako