• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya CPC yapanga utekelezaji wa mawazo ya mkutano mkuu wa 19 wa CPC

    (GMT+08:00) 2017-10-27 21:11:19

    Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya 19 ya Chama cha Kikomunisti cha China imefanya mkutano ikitoa mpango kuhusu kujifunza, kutangaza na kutekeleza mawazo ya mkutano mkuu wa 19 wa chama hiki, kujadili nyaraka za "Maamuzi kadhaa ya Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China kuhusu kuimarisha na kutetea uongozi wa kamati kuu ya chama", na "Kanuni za Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China kuhusu utekelezaji wa maamuzi manane ya kamati kuu ya chama". Katibu mkuu wa chama Bw. Xi Jinping ameongoza mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako