• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi Jinping asisitiza umuhimu wa nia ya mkutano mkuu wa 19 wa CPC

    (GMT+08:00) 2017-10-28 18:54:41

    Rais Xi Jinping wa China jana alipoendesha mafunzo ya Idara ya Kisiasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China kuhusu njia ya mkutano mkuu wa 19 wa chama hicho amesisitiza umuhimu wa kufahamu na kutekeleza vizuri njia ya mkutano huo.

    Rais Xi amesema mkutano mkuu wa 19 wa CPC ulifafanua sera kuhusu mawazo na masuala muhimu ya kushikilia na kuendeleza Ujamaa wenye umaalumu wa China katika kipindi kipya, na kutunga mpango wa kimkakati wa kusukuma mbele shughuli mbalimbali za taifa na chama, ambazo ni azimio la kisiasa na mwongozo wa utekelezaji wa shughuli za chama hicho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako