• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya wazee nchini China kufikia milioni 400 hadi kufikia mwaka 2035

    (GMT+08:00) 2017-10-29 18:18:13

    Idadi ya wazee nchini China inaongezeka kwa haraka, na hadi kufikia mwaka 2035 itafikia milioni 400.

    Hayo yamesemwa na Bw. Zheng Gongcheng ambaye ni mkuu wa Shirikisho la Usalama wa Jamii la China kwenye kongamano lililofanyika mjini Guiyang, mkoani Guizhou.

    Bw. Zheng amesema China inakabiliwa na changamoto kubwa ya kuwatunza wazee, ambao hivi sasa idadi yake imefikia milioni 240. Amesema ingawa huduma kwa wazee zinaendelezwa kwa haraka, lakini bado hazitoshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako