• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Sisi wa Misri amteua mnadhimu mkuu mpya wa jeshi

    (GMT+08:00) 2017-10-29 18:35:24

    Rais wa Misri Abdel-Fattah al-Sisi Jumamosi amemteua Mohamed Farid Hegazy kuwa mnadhimu mkuu mpya wa jeshi kwa kuchukua nafasi ya mtangulizi wake Mahmoud Hegazy, taarifa ya tovuti ya Al-Ahram ya ikulu imeeleza.

    Huku Mohamed Hegazy akiajiriwa kama mshauri wa rais kwa ajili ya mipango ya kimkakati na utatuzi wa migogoro,

    Mnadhimu mpya, Mohamed Farid Hegazy amekuwa waziri wa ulinzi wa nchi hiyo kabla ya uteuzi wa rais Sisi hii leo. Aliwahi kuongoza jeshi na kisha kuwa katibu mkuu wa wizara ya ulinzi mwaka 2012.

    Mahmoud Hegazy aliteuliwa mwaka 2014, chini ya mwaka mmoja baada ya jeshi kumpindua rais wa zamani wa kundi la kiislamu Mohamed Morsi mwezi Julai 2013 kufuatia maandamano ya wafuasi dhidi ya utawala wake wa mwaka mmoja na kikundi chake cha Islamic Brotherhood.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako