• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika: Wydad Casablanca yailazimisha sare kwa Al Ahly.

    (GMT+08:00) 2017-10-30 08:34:12
    Fainali ya kwanza ya mabingwa barani Afrika imefanyika juzi kwenye uwanja wa Borg El Arab jijini Alexandria ikiwakutanisha wenyeji Al Ahly dhidi ya Wydad Casablanca.

    Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1 hivyo kufanya mchezo wa marudiano nchini Morocco kuwa na mvuto wa aina yake.

    Al Ahly wametwaa ubingwa wa kombe hilo mara 8. Wydad Casablanca walitinga fainali kwa kuitoa USM Alger ya Algeria kwenye nusu fainali wakati Al Ahly waliitupa nje Etoile du Sahel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako