Mapema wiki iliyopita, viongozi wa soka Misri walisema timu ya taifa inayojumuisha wachezaji wa ndani isingewezekana kushiriki michuano hiyo kutokana na ratiba ngumu ya ligi kuu nchini humo.
Mataifa yatakayoshiriki michuano hiyo ni Morocco, Libya, Ginea, Mauritania, Nigeria, Ivory Coast, Burkina Faso, Equitorial Guinea, Congo, Cameroon, Uganda, Sudan, Angola, Namibia na Zambia.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |