• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uingereza yatwaa kombe la dunia la vijana U17

    (GMT+08:00) 2017-10-30 08:35:12
    Kikosi cha vijana cha England chini ya miaka 17 kimeifumua Uhispania mabao 5-2 na kunyakua taji la ubingwa wa dunia kwenye mchezo uliopigwa Jumamosi nchini India.

    Ikiwa ni miezi michache tangu timu ya vijana chini ya miaka 20 itwae taji la dunia katika mashindano yaliyofanyika Korea Kusini. Mashabiki 80,000 walishuhudia timu hiyo ya vijana ikinyakua ubingwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako