• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama cha CPC chawaadhibu wanachama laki 3.38 kwa utovu wa nidhamu mwaka huu

    (GMT+08:00) 2017-10-30 08:55:06

    Taarifa iliyotolewa jana kwenye tovuti ya idara ya ukaguzi ya Kamati ya nidhamu ya Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China, inasema kuanzia mwezi Januari hadi Septemba mwaka huu, idara za kusimamia nidhamu za chama zimetoa adhabu kwa wanachama laki 3.38 kwa utovu wa nidhamu, wakiwemo maofisa waandamizi 56 wenye ngazi ya uwaziri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako