• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wanne wafariki kutokana na moto wa kisima cha mafuta kusini magharibi mwa Iran

    (GMT+08:00) 2017-10-30 08:55:26

    Shirika la habari la Iran IRNA limesema watu wanne wamefariki kutokana na ajali ya moto iliyotolewa jana kwenye kisima cha mafuta cha Rag Sefid, kilichoko katika mkoa wa Bushehr, kusini magharibi mwa nchi hiyo. Shirika la Hilari nyekundu la Iran limetuma helikopta kuzima moto huo mkubwa. Uchunguzi unaonyesha kuwa kuvuja kwa gesi inayowaka kwenye kisima hicho, ni chanzo cha ajali hiyo. Ijumaa wiki iliyopita, watu wengine sita waliuawa na wengine wawili walijeruhiwa baada ya moto kulipuka katika kituo cha kusafisha mafuta mjini Tehran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako