• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mapato ya hazina imepungukiwa na sh bilioni 51

    (GMT+08:00) 2017-10-30 20:10:43

    Mapato ya Serikali yalipungua na Sh bilioni 51.41 katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka wa sasa wa kifedha.

    Jumla ya mapato katika hazina ya serikali imeshuka hadi Sh bilioni 408.14 katika kipindi cha mwezi Julai-Septemba, kutoka Sh bilioni 459.55 mwaka uliopita.

    Wachambuzi wanasema ukuaji wa uchumi unawezekano wa kushuka chini ya asilimia tano mwaka huu, na kufikia asilimia 4.25 na asilimia 4.75.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako