• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mitumba uagizaji wa mitumba umepanda juu na asilimia 8.2 na kufikia sh bilioni 6.6

    (GMT+08:00) 2017-10-30 20:11:12

    Kenya ilitumia Sh bilioni 6.6 kuagiza nguo za mitumba katika nusu ya kwanza ya mwaka, takwimu rasmi inaonyesha.

    Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya inaonyesha muswada wa kuagiza ngua za mitumba, ilikua kwa asilimia 8.2 kutoka kwa sh bilioni 6.1 iliyotumiwa katika nusu ya kwanza ya mwaka jana.

    Wakenya wanapendelea mitumba kutokana na bei bora, na vitu vya hali ya juu jambo ambalo limechangia kuongezeka kwa uagizaji wa mitumba na, kuathiri vibay sekta ya pamba.

    Takwimu inaonyesha kiasi kilikua kwa asilimia 12.4 hadi tani 69,862 kutoka tani 62,158 zilizoagizwa kwa kipindi kama hicho mwaka jana.

    Mauzo ya nje nchini Kenya ya nguo imeshuka kwa asilimia 30 na kufika Sh bilioni 1.8 katika nusu ya kwanza ya mwaka 2017 ikilinganishwa na sh bilioni 2.6 iliyosajiliwa kwa kipindi kama hicho mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako