• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • East Africa: Comesa imekata bajeti kwa dola milioni 10

    (GMT+08:00) 2017-10-30 20:11:29

    Soko la Pamoja la Afrika Mashariki na Kusini (Comesa) limekata bajeti yake mwaka 2018 kwa dola milioni 10 hadi dola milioni 32.

    Hatua hii ilifanyika hivi majuzi katika mkutano wa 37 wa Kamati ya Utawala huko Lusaka

    Wanachama 19 wa Nchi wanatarajiwa kutoa jumla ya dola milioni 16.7 wakati washirika wanatarajiwa kutoa dola milioni 15.6.

    Fedha kutoka kwa washirika wa kimaendeleo itaelekezwa kwenye mipango kama vile mabadiliko ya hali ya hewa, mpango wa msaada wa usalama wa binadamu na mfumo wa ushirikiano wa kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako