• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • JWTZ kukarabati madaraja yaliyosombwa na mvua Dar wananchi waendelee na shughuli za kiuchumi

    (GMT+08:00) 2017-10-30 20:11:44

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema serikali inaendelea na jitihada za kurekebisha miundombinu iliyoharibiwa na mvua, zilizonyesha hivi karibuni ili wananchi waendelee na shughuli za kiuchumi.

    Aidha, Makonda amesema Benki ya Dunia imetoa Sh bilioni moja kwa ajili ya kusafisha eneo la Jangwani, bonde la Mto Msimbazi na kazi ya usafishaji inatarajiwa kuanza wiki ijayo baada ya kukamilisha hatua za kumpata mkandarasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako