• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika azuru Afrika kusini

    (GMT+08:00) 2017-10-31 08:26:17

    Mwenyekiti wa Kamati ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Faki Mahmat anafanya ziara ya siku mbili nchini Afrika Kusini, kujadili masuala ya kikanda ikiwemo eneo la biashara huria la Afrika CFTA. Bw. Mahmat anatarajiwa kukutana na kufanya mazungumzo na rais Jacob Zuma, waziri wa mahusiano na ushirikiano wa kimataifa Bibi Maite Nkoana-Mashabane na maofisa wengine waandamizi wa serikali ya nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako