• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran kuondoa vizuzi vya mpakani na jimbo la Wakurdi la Iraq

    (GMT+08:00) 2017-10-31 08:27:09

    Mnadhimu mkuu wa jeshi la Iran Meja jenerali Mohammad Bagheri amesema nchi yake itaondoa vizuizi vya mpakani kwenye jimbo linalojitawala la wakurdi la Iraq katika siku kadhaa zijazo. Bw. Bagheri amesema kama jimbo hilo lingetekeleza mpango wake wa kujitenga na Iraq, lingekabiliwa na vita na machafuko ya muda mrefu. Septemba 24 Iran ilitangaza kufunga anga yake kwa ndege zote zinazokwenda na kutoka katika jimbo la wakurdi la Iraq kutokana na ombi la serikali kuu ya Iraq.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako