• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tenisi:Fainali ya WTA nchini Singapore, Venus aweka rekodi

    (GMT+08:00) 2017-10-31 08:46:23
    Caroline Wozniacki wa Denmark amemshinda Venus William na kutwaa taji kubwa la kwanza tangu aanze mashindano hayo. Caroline ameshinda taji hilo la WTA nchini Singapore kwa seti 6-4, 6-4.

    Baada ya kucheza fainali hiyo, Venus ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kucheza fainali hiyo akiwa na umri wa miaka 37.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako