• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lewis Hamilton atwaa taji la nne la dunia

    (GMT+08:00) 2017-10-31 08:46:41
    Dereva Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda taji la 4 la dunia katika michuano ya Mexico grand prix licha ya kumaliza akiwa nafasi ya tisa baada kugongana na Sebastian Vettel.

    Mafanikio ya Hamilton yanamfanya kuwa dereva wa Uingereza kufanikiwa zaidi katika historia akiwa amevunja rekodi ya Jackie Stewart.

    Hamilton aligongana na Vettel wakati walipokuwa wakijaribu kupishana katika kona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako